Image
Image

Watu 79 wauawa kwa kupigwa na radi katika majimbo ya India.

Watu 79 wameuawa kwa kupigwa na radi katika majimbo ya India ya Bihar,Jharkhand na Madhya Pradesh huku maafisa wakisema watu 53 waliuawa katika jimbo la Bihar peke yake.
Maafisa wanasema watu kumi waliuawa kwa radi katika jim bo la mashariki la Jharkhand na wengine 16 katika jimbo la Madhya Pradesh.
Taarifa zinasema wengi waliouawa walikuwa mashamba ni wakati mvua kubwa zilizokuwa zinanyesha hapo jana.
Mashambulio ya radi ya kawaida nchini India wakati wa mvua kubwa za msimu ambazo hunyesha kwa asilimia 80 kati ya Juni na Septemba kila mwaka.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment