Image
Image

TAMISEMI kukamilisha mkataba wa utoaji huduma za afya Hospitali ya HYDOM.


Ofisi ya Waziri mkuu Tawala za Mikoa na serikali za mitaa ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mkataba wa utoaji huduma za afya  katika Hospitali ya HYDOM ili kuimarisha huduma zinazotolewa na Hospitali hiyo inayofanyakazi katika mkoa wa Manyara na Mikoa jirani.
Naibu waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na serikali za mitaa, SELEMANI JAFO amesema hayo alipokuwa a kijibu swali la mbunge wa Mbulu Vijijini, aliyeuliza serikali inampango gani wa kupelekea ruzuku katika hospitali ya H Y DOM ambayo ni yarufaa ya mkoa wa Manyara ambayo pia inatumiwa na mikoa ya Singida,Meatu,Simiyu na Arusha.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment