Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kasi ya ugonjwa wa kipindupindu imepungua kutokana na juhudi zinazofanywa na viongozi.
Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema kasi ya
ugonjwa wa kipindupindu imepungua kutokana na juhudi zinazofanywa na
viongozi na wataalam wa afya katika kutoa elimu juu ya ugonjwa huo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto UMMY MWALIMU amesema hayo wakati akitoa ripoti ya mwenendo wa ugonjwa huo kwa wiki ya mwisho wa mwezi JUNE mwaka huu.
Katika hatua nyingine waziri UMMY amesema timu ya wataalam iko mkoani DODOMA na MANYARA ili kuchunguza mlipuko wa ugonjwa usihofahamika uliosababisha vifo vya watu 11.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment