Image
Image

Mrajisi vyama vya ushirika avunja Bodi nakutumbua Meneja na Msaidizi wake kwa ubadhirifu wa fedha Kagera.

Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini amevunja Bodi ya chama cha ushirika Kagera KCU LTD na kuwasimamisha kazi Meneja Mkuu na Mrajisi Msaidizi kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa fedha za chama zaidi ya Shilingi milioni 140 na matumizi mabaya ya madaraka ambapo ameliagiza Jeshi la polisi na TAKUKURU kufanya uchunguzi katika sakata hilo kuanzia leo.Source:ITV.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment