Taasisi ya Moyo muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa mtoto ambaye amepandikizwa Betri ya umeme wa Moyo, kwenye mfumo wa Moyo wake.
Upasuaji huo ni wa kwanza kufanyika nchini ambapo upasuaji kama huo unafanyika kwa watu wazima, lakini watu wazima hawahitaji upasuaji wa moyo wa kupandikiza na kwamba tatizo la mtoto huyo ni la kuzaliwa ambalo ni nadra kutokea.

0 comments:
Post a Comment