Leo 15 Julai 2016, Baraza la mitihani Tanzania latangaza matokeo ya kidato cha sita ambapo ufaulu kwa masomo ya sayansi umeshuka.
Mtokeo hayo yametangazwa na Katibu mtendaji wa Baraza la mitihani (NECTA) Bwana.Charles Msonde hivi leo mbele ya wanahabari jijini Dar es Salaam.
Taarifa zaid tutawaletea,Like Page yetu ya Facebook,Instagram,Twitter, kupata habari.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment