Image
Image

Tizeba amevunja bodi ya chama kikuu cha ushirika cha Nyanza*Asitisha ajira ya Meneja na Mwenyekiti.

Waziri wa Kilimo,mifugo na Uvuvi Charles Tizeba amevunja bodi ya chama kikuu cha ushirika cha Nyanza (NCU 1984) na kumuagiza mrajisi wa vyama vya ushirika nchini kusitisha ajira ya Meneja mkuu na Mwenyekiti wa chama hicho pamoja na warajisi wasaidizi watatu wa mikoa ya Mwanza ,Simiyu na Geita.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment