Maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23, 2016 mjini Dodoma yamezidi kuiva.
Taarifa iliyotolewa leo jijiniDar es Salaam, ikiwa imesainiwa na Katibu Mwenezi wa CCM, Nape Nnauye
imesema, mkutano huo utatanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya
Halimashauri Kuu ya Taifa ya CCM (CC) kitakachofanyika Julai 21, 2016,
na kufuatiwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) siku ya pili,
Julai 22, 2016.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment