Zoezi la kutafuta Miili
ya watu tisa waliokufa maji jana wakivuka Mto Ruvuma kutoka Mkenda Wilayani
Songea kwenda Mitomoni Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma wakitokea Mkenda
kwenye mnada linaendelea ambapo bado miili haijapatikana.
Wananchi wanaoshiriki zoezi la
kutafuta watu waliokufa maji wana sema wanakwazwa na vifaa vya uokaji
ambapo wametega nyavu mita kadhaa kutoka waliko zama watu hao tisa ili
wakwame baada ya kukokotwa na maji.BOFYA HAPA->http://bit.ly/29jhPEM
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment