Image
Image

Brazil yatwaa medali ya dhahabu ya kwanza ya Olympiki.


Neymar do Santos amefanikiwa kuiongoza timu yake ya taifa ya Brazil kutwaa medali ya dhahabu ya kwanza katika historia ya mashindano ya Olympiki.
Ushindi huo dhidi ya Ujerumani umeonekana kama ni kisasi kwani Ujerumani imewahi kufunga Brazil7-1 miaka miwili iliyopita katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la dunia.
Brazil ambao wamewahi kutwaa mataji mengi ya soka wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa penati 5-4 hiyo ni baada ya mchezo kumalizika katika muda wa kawaida wakiwa sare ya goli 1-1, magoli ambayo yalifungwa na Neymar dakika ya 26 na kwa upande wa Ujerumani Max Meyer dakika ya 59.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment