Image
Image

Chadema kanda ya Serengeti yatoa tamko la Operesheni Ukuta 1 Septemba 2016.

Katibu wa chadema kanda ya Serengeti Bw.Renatus Nzemo akitoa tamko la operesheni UKUTA.
Wanachama wa chadema wakimsikiliza katibu wa kanda wakati akitoa tamko la kanda.
Wanachama na viongozi wa CHADEMA  wilaya ya Shinyanga wakionesha alama ya operesheni UKUTA katika ofisi ya kanda ya Serengeti iliyoko mjini Shinyanga.
 Katibu wa CHADEMA kanda ya Serengeti Bw.Renatus Nzemo akikabidhi bendera kwa viongozi wa CHADEMA  wilaya ya Shinyanga Leo.
Na.Frank Mshana,Shinyanga.
Chama cha demokrasia na maendeleo kanda ya Serengeti inayoundwa na mikoa mitatu ya Mara, Shinyanga na Simuyu umetoa tamko rasmi kuhusu operation ukuta iliyopangwa kuanza septemba mosi 2016 huku katibu wa kanda hiyo Bw.Renatus Nzemo akiwataka wanachadema kujitokeza kwa wingi bila kuogopa ili lengo la kuitambulisha dunia azma  yao ya kukataa kukandamizwa ikamilike.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment