CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema kinataka kubakia na viongozi bora na waadilifu ili serikali watakayounda wakishinda uchaguzi mkuu mwaka 2020 ifanyekazi kwa uadilifu.
Hayo yalisemwa na Naibu Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi wa CUF chama hicho, Shaweji Mketo, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wanachama 11 wa chama hicho kusimamishwa uanachama na Baraza Kuu la chama.
Alisema CUF ndiyo chama mbadala chenye mwelekeo mkubwa wa kuleta mabadiliko ya utawala Tanzania Bara na Zanzibar, ndiyo maana kimeamua kuwaondoa wanachama wasiokuwa wakweli na waaminifu kwa chama.

0 comments:
Post a Comment