
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani ( wa kwanza kulia) akiwa katika Kikao na Waziri kutoka nchini Ufaransa anayesimamia Mazingira, Nishati na Bahari , Segolene Royal (kulia kwa Naibu Waziri) . Waziri huyo pamoja na Ujumbe wake walifika katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini jijini Dar es Salaam ili kuzungumzia uendelezaji wa miradi mbalimbali ya Nishati nchini.Wa kwanza kushoto ni Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli, James Andilile.


0 comments:
Post a Comment