Image
Image

Utafiti uliofanywa kupitia Panya wabaini virusi vya Mafua huambukizwa Mara 10 kila Asubuhi.

Kwa mujibu wa utafiti uliotolewa ni kuwa kiwango cha kuathirika na virusi huwa juu zaidi wakati wa majira ya asubuhi .Utafiti huo ulifanywa kwa kutumia  panya katika chuo kikuu cha Cambridge ambapo virusi vinavyosababisha mafua na ugonjwa wa malengelenge vilitumika na matokeo kuchapishwa katika jarida la PNAS.
Takwimu katika makala hayo zilizonyesha kuwa uambukizaji na ukitaji wa virusi hivyo huwa juu zaidi kwa mara 10 asubuhi ikilinganishwa na uambukizaji wa jioni.
Aidha utafiti huo ulionyesha kuwa mwili wa binadamu huwa na kinga dhaifu zaidi dhidi ya virusi ikiwa mtu anasafiri kwa muda mrefu kwa kutumia ndege au kufanya kazi kwa muda mrefu .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment