
Katika michezo ya Olimpiki ya Rio ya mwaka 2016, kitengo cha mieleka mcheza mieleka kutoka Uturuki kwa jina la Riza Kayaalp ambae alikupambana na mcheza mieleka kutoka Cuba kwa jina la Mijain Lopez Nunez aliangushwa.
Baada ya kuangushwa na Nunez ambae amepata ushindi kwa mara ya 3 na kujinyakulia medali ya dhahabu, Riza amechukuwa nafasi ya pili na kujinyakulia medali ya fedha.

0 comments:
Post a Comment