Image
Image

Wafuasi 133 wa chama cha upinzani cha UPND wakamatwa baada ya matokeo ya uchaguzi nchini Zambia.

Wafwasi 133 wa aleikuwa mgombea kitiki cha urais kwa tikiti ya chama cha upinzani cha UPND Hakainde Hichilema wakamatwa na polisi katika maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Zambia.Kwa mujibu wa mkuu wa idara ya polisi wa Zambia Godwin Phiri alifahamisha ya kwamba waliwakamata wafuasi wa Hichilema baada yakuonekana wakifanya uharibifu wa vitu vya wafuasi wa rais wa Zambia Edgar Lung katika maandamano hayo.
Ifahamike ya kwamba rais Edgar Lungu aliibuka na ushindi kwa asilimia 50,3 katika awamu ya kwanza dhidi ya Hakainde Hichilema katika uchaguzi mkuu nchini Zambia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment