Image
Image

Marekani yaipongeza Uturuki kwa kupambana vita dhidi ya makundi ya ugaidi.

Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na wizara ya ulinzi ya Marekani, waziri wa ulinzi wa Marekani Ashton Carter aipongeza Uturuki kwa mchango wake ilio onesha kufuatia kuukombowa mji wa Menbij nchini Syria katoka mikononi mwa Daesh.Waziri huyo katika tangazo hilo pia alizitowa pia pongezi kwa rai na idara ya jeshi ya mjini Menbij huku akizitowa tena pongezi kwa vikosi vya muungano kufutia shuhuli zake za kuendelea kupambana na Daesh.
Waziri huyo alimalizia na kusema ya kwamba ku kamatwa kwa mjii wa Menbij itakuwa ni fursa ya kuokombowa mjii wa Raqqa na kuimaliza Daesh hivi karibuni.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment