Image
Image

Zaidi ya wapalestina 25 wamejeruhiwa na jeshi la Israel katika kambi ya Fawwar Ukingo wa Magharibi

Zaidi ya wapalestina 25 wamejeruhiwa na jeshi la Israel katika kambi ya Fawwar Ukingo wa Magharibi baada ya kuendesha operesheni Jumatatu asubuhi katika maeneo tofauti.
Watu zaidi ya 25 wamejeruhiwa katika mapambano ambayo yalitokea katika kambi ya wakimbizi Fawwar baina ya jeshi la Israel na wapalestina. Kambi hiyo inapatika kwenye umbali kidogo na Al Khalil kusini mwa Ukingo wa Magharibi kama washahidi wa tukio walivyo fahamisha.
Kikosi cha jeshi la Israel kiliendesha operesheni Jumatatu asubuhi katika kambi hiyo na kudai kuwa kilikuwa kinataka kumtianguvuni mtu ambae alikuwa anatafutwa na mamlaka ya Israel na baadae kuzua ghasia.
Katika ghasia hiyo vijana wakipalestina waliwarushia wanajeshi wa Israel machupa  huku jeshi likifyatua risasi na mabomu ya kutoa machozi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment