ZIARA YA KUSHTUKIZA:Kigwangalla kuwabana wafadhili wa Mashoga na kuwaburuza Mahakamani.
Mashirika yatakayo bainika kujihusisha na ufadhili wa miradi ya kuhamasisha mapenzi ya jinsia moja yatachukuliwa hatua za kisheria na kufikishwa Mahakamani.
Hayo yamejiri muda mfupi mara baada ya Naibu Waziri wa Afya, Dkt.Hamisi Kigwangalla kufanya ziara ya kushtukiza katika Shirika la CHESA jijini Dar es Salaam na kubaini uwepo wa upokeaji wa fedha kwaajili ya kuhamashisha mapenzi ya jinsia moja.
Hata hivyo suala la ufadhili na Mapenzi ya jinsia moja limekuwa likipingwe sehembu mbalimbali za dunia haswa ikiwamo Tanzania, licha yakuwa yapo mataifa yanayounga mkono suala hilo huku wakisema kuwa ni haki ya msingi kwa Mashoga kupewa haki yao kama raia mwingine.
BOFYAHAPA->https://issamichuzi.blogspot.com




0 comments:
Post a Comment