Baraza
la Usalama la Uturuki limeomba pia na kupendekeza kuwa tarehe 15 ulia
ya kila mwaka nchini Uturuki iwe ni siku ya kitaifa ya demokrasia na
uhuru.
Baraza la usalama la Uturuki lililoongozwa na rais Erdogan
Jumatano lilitangaza hali ya dharura kwa muda wa miezi mitatu kufuatia
jaribio la mapinduzi la Julai 15 kwa sasa huenda hali hiyo ya dharura
ikaongezwa kwa muda wa mwezi mmoja.
Katika tangazo lililotolewa na
baraza la usalam la Uturuki lililfahamisha kuwa hali hiyo ya dharura
kwa niaba ya kulinda taifa na raia na kuhakikisha kuwa usalama
umehimarika.
Hayo yaliahamishwa baada ya kumalizika kwa mkutano huo uliofanyika katika ikulu mjini Ankara.
Hali
ya dharura ilitangazwa Julai 20 siku nne 5 baada ya jaribio la
mapinduzi, kitendo ambacho kwas asa kinaashiria kuwa hali hiyo ya
dharura itamalizika mwishoni mwa Oktoba.
Baraza la usalama la Uturuki limependekeza kuwa Julai 15 iwe ni siku ya kitaifa ya demokrasia na uhuru.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment