Jeshi
la Uturuki lafahamisha kuwa operesheni ya Euphratia imepelekea
kudhibiti eneo lenye ukubwa wa kilomita845 kaskazini mwa Syria.
Eneo
la kilomita 845 lipo huru na wanamgambo wa Daesh Syria baada ya
operesheni Euphratia kuendeshwa kwa ushirikiano na jeshi la washirika.
Taarifa
zaidi zinafahamisha kuwa jeshi la washirika la kimataifa liliendesha
mashambulizi dhidi ya ngome mbili za Daesh Aleppo ambazo zilikuwa
zikitumiwa na wanamgambo hao kushambulia.
Uturuki ilianza kushambulia Daesh Agosti 24 Jarabluz kaskazini mwa Syria baada ya Daesh kushambulia kwa roketi ardhi ya Uturuki.
Uturuki iliendesha operesheni hiyo ili kuhakikisha usalama katika mpaka wake na Syria.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment