Image
Image

Mwanaspoti wa Iran afariki kwenye mashindano ya baiskeli ya Rio olimpiki 2016.

Mwanaspoti wa uendeshaji baiskeli kutoka Iran Bahman Golbarnezhad mwenye umri wa miaka 48 amefariki kwenye mashindano ya Rio olimpiki ya walemavu.
Kamati ya maandalizi ya Rio olimpiki 2016 ya walemavu imetoa maelezo na kuarifu kwamba Bahman alipata ajali wakati wa mashindano ya baiskeli.
Maelezo zaidi yanaarifu kwamba Bahman alifikishwa hospitalini kwa ajili ya matibabu baada ya kupata ajali.
Juhudi za madaktari ziliambulia patupu na Bahman akatangazwa kufariki hospitalini.
Mwanaspoti huyo wa Iran pia alishiriki mashindano ya michezo ya olimpiki ya London nchini Uingereza ingawaje hakuwahi kushinda medali.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment