Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Ramadhani Dau kuwa Balozi wa
Tanzania nchini Malaysia Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Tixon Nzunda kuwa Katibu Tawala wa
mkoa wa Rukwa, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Eliya Ntandu kuwa Katibu Tawala
mkoa wa Songwe, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Adoh Mapunda kuwa Katibu Tawala
mkoa wa Mara Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa na katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais,
Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Balozi
wa Tanzania nchini Malaysia, Dkt. Ramadhani Dau na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Suzan Kolimba
mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais
Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Katibu
Tawala mkoa wa Mara Bw. Adoh Mapunda wa pili kutoka (kushoto),
Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa Bw. Tixon Nzunda watatu kutoka
(kushoto) , Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Dkt. Suzan Kolimba wapili kutoka (kulia), Katibu Tawala wa
Mkoa wa Songwe Eliya Ntandu wakwanza (kulia) mara baada ya tukio la
uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akifurahia jambo na Balozi mpya wa Tanzania nchini
Malaysia Dkt. Ramadhani Dau mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani
Dau, Katibu Tawala mkoa wa Rukwa Tixon Nzunda, Katibu Tawala wa
Mkoa wa Songwe Eliya Ntandu pamoja na Katibu Tawala wa mkoa wa
Mara Adoh Mapunda wakila kiapo cha Uadilifu mara baada ya
kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment