Image
Image

SHEIN afanya ukaguzi wa miradi mbalimbali visiwani ZANZIBAR

Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN amefanya ukaguzi wa miradi ya ujenzi wa barabara na kusisitiza dhamira ya serikali ya kuendelea na ujenzi na ukamilishaji wa miradi hiyo kama ilivyoainishwa katika mipango mbalimbali ya maendeleo ya serikali.
Katika ziara yake hiyo Dk. SHEIN ametembelea ujenzi wa barabara ya JENDELE-CHEJU-UNGUJA UKUU KAIBONA yenye urefu wa kilomita 11.737 na awamu ya kwanza ya ujenzi wa barabara ya MWANAKWEREKWE hadi TUNGUUU yenye urefu wa kilomita 11.7.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment