Aliyekuwa mtangazaji wa Channel Ten, kipindi cha
Utalii Tanzania, Cassius Mdami amefariki dunia 21 Septemba 2016 katika
Hospitali ya Mazimbu Morogoro.
Marehemu alianza kusumbuliwa na maradhi tangu mwanzoni mwa mwaka huu na kupatiwa matibabu jijini Dar es Saalam kabla ya kuhamishiwa mkoani Morogoro, ambako alifikwa na mauti akiwa amelazwa hospitali ya Mazimbu iliyopo mkoani Morogoro.
Marehemu enzi za uhai wake alikuwa akitangaza kipindi cha Utalii wa ndani kinachorushwa na kituo cha luninga cha Chanel Ten, ambacho kwa kiasi kikubwa kimechangia kukuza sekta ya utalii nchini na Kilichoipa Sifa Kubwa Kampuni hiyo kwa Kushinda Tuzo mbalimbali za Kuhamasisha UTALII WA NDANI nchini Tanzania.

Moja
ya neno enzi za uhaiwake amependa kulitamka wakati wa kipindi cha utalii wa
ndani.#Falsafayaufagioniunyenyekevu,#miminimtumishinisiyestahili.
Taarifa kamili kuhusu mazishi yake zitatolewa,
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema.
0 comments:
Post a Comment