WABUNGE
wa upinzani wameshauri Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, aondolewe kwenye
baraza kama aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles
Kitwanga, kwa madai ya kutoa majibu ambayo hayakuridhisha bungeni.
Mara
baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu bungeni mjini
hapa jana, wabunge wanne wa upinzani walisimama kuomba mwongozo kwa
kiti.
Kati ya wabunge hao wanne, watatu walihoji umakini wa majibu ya Simbachawene wakati akijibu swali la Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, juu ya ukubwa wa serikali.
Kati ya wabunge hao wanne, watatu walihoji umakini wa majibu ya Simbachawene wakati akijibu swali la Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, juu ya ukubwa wa serikali.
0 comments:
Post a Comment