Image
Image

Uturuki yatoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusu haki za binadamu Syria

Uturuki yatoa wito kwa Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusu haki za binadamu nchini Syria.Uturuki imetoa wito huo baada ya kundi la PYD kuonekana kukiuka haki za binadamu.
Kundi la PYD ni tawi la kundi la kigaidi la PKK ambalo linalo nia ya kutaka  kugawanya Syria  katika matabaka tofauti.
Muakilishi wa Uturuki Umoja wa Mataifa Mehmet Ferden Carikci alitoa ripoti kwa kamishna inasimamia uchunguzi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Syria.
Ripoti  ilisomwa katika  mkutano wa Umoja wa Mataifa na Paulo Serigio Pinheiro.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment