Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe akizindua umezaji wa dawa za Kichocho kwa kumpatia mmoja wa wanafunzi wa shule ya Mkumburu, kushoto ni mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Handeni, William Makufwe.
Dc Godwin Godwe akinawa mikono kwa maji safi na salama tayari kwa kuzindua a umezaji dawa za kichocho katika shule za msingi zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Handeni.
Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe akizungumza na wanafunzi mambo mbalimbali mapema leo kabla ya kuzindua umezaji dawa za kichocho katika shule za msingi zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Handeni.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment