Image
Image

Shirika la kutoa misaada kwa watoto limesema watoto wapo katika hali ngumu.

Shirika la kutoa misaada kwa watoto la Save th Children  lafahamisha kuwa watoto wapo katika hali ngumu Calais UfaransaShirika  la kutoa misaada kwa watoto kwa jina la Save the Children lafahamisha kutiwa wasiwasi  na hali ya watoto katika kambi ya wahamiaji inayobomolewa mjini Calais nchini Ufaransa.
Watoto katika kambi hiyo wameonekana wakiwa katika hali ya hofu walipoona  magari ya ujenzi yakiwasili katika kambi hiyo na kuanza kubomoa mahema yaliokuwa yametaarishwa kwa naiba ya malazi kwa muda kadhaa.
Taarifa hiyo  ilitolewa  na mkurugenzi wa shirika hilo Carolyn Miles  kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na kituo cha habari cha AFP.
Zaidi ya wahamiaji 6 000 waliokuwa wakipatikana katika kambi ya Calais iliopewa jina la « Jungle » walikuwa wakitaraji kuvuka mpaka na kwenda nchini Uingereza.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment