Utafiti uliofanyika katika chuo kikuu cha Brown nchini Marekani
kitengo cha afya ya 'Global cardiometabolic Health Center' wadhihirisha
kuwa watu wanaokula angalau kipande kimoja cha 'Chocolate' chungu
huepuka maradhi ya moyo,magonjwa ya sukari na kuwa na usawa katika
kiwango chao cha homoni ya 'Insulin'.Matumizi ya kati ya
miligramu 200 na 600 ya 'Chocolate ' chungu isiyo na maziwa hupunguza
hatari ya kuwa na ongezeko la Kolestroli .
Utafiti huo ulifanywa
na mkuu wa kituo hicho cha afya Dr. Simin Liu na mwanafunzi wake Lin
Xiaochun ambapo wanafunzi 139,000 walifanyiwa uchunguzi wa maradhi ya
moyo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment