Hayo
yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Grace Maghembe kuwa
mwaka 2015 lengo ilikuwa kugawa dawa kwa watu milioni 4 ila waligawa kwa
watu milioni 3.9 sawa na asilimia 80.
"Mwaka
huu lengo letu ni kugawa kwa watu milioni 4 ila muitikio wa wamama
umekuwa mdogo niwaambie kuwa mabusha yanawapata hata wao kwenye sehemu
za siri na maziwa," alisema Magembe.
Katika
kuboresha zoezi hilo tayari wameanzisha vituo viwili kwa ajili ya
kufanya upasuaji wa mabusba ambavyo viko Pugu na Mbweni na watu 104
washafanyiwa upasuaji.
Habari Zinazohusiana
0 comments:
Post a Comment