Waziri wa sheria wa Uturuki Bekir Bozdag anataraji kufanya ziara nchini Marekani ifikapo Oktoba 25.
Waziri
Bekir atafanya ziara hiyo nchini Marekani kwa niaba ya kufanya
mazungumzo kuhusu kurejeshwa nchini Uturuki kiongozi wa kundi la
kigaidi la FETO/PYD.
Bekir Bozdag aliyafahamisha hayo alipofanya
mazungumzo na waandishi wa habari baada ya kushiriki katika mkutano
uliofanyika bungeni.
Waziri Bekir aliwafahamisha waandishi wa habari
kuwa anataraji kuelekea nchini Marekani kufanya mazungumzo na serikali
ili kuafikiano katika suala la kumrejesha kiongozi wa kundi la kigaidi
la FETO linaloongozwa na Fethullah Gullen.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment