Watu
1 8 wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari dogo
la abiria aina ya Noah waliokuwa wakisafiria kugonana na lori aina ya
Fuso Msalala Mkoani Shinyanga.
Gari dogo lilikuwa likitokea Nzega Mkoani Tabora k wenda Shinyanga na lory lililokuwa likitokea kahama kwenda Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo .
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga,
MULIRO JUMANNE MULIRO amesema mbali na mashuda waliokuwepo katika eneo
hilo kudai kuwa chanzo cha ajali kimesababishwa na dereva wa Noah
kutaka kulipita gari aina ya Fuso lililoku w a mbele yake na Polisi
Kikosi cha Usalama Barabarani bado inafanya uchunguzi kujiridhisha
kuhusu chanzo cha ajali hiyo .
Maiti tisa wa ajali hiyo wametambuliwa na kuchukuliwa na ndugu zao kwa ajili ya mazishi.
Kamanda
Muliro ametoa angalizo kwa madereva watumiaji wen gine wa barabara
wanaokiuka sher ia na kutozingatia alama za barabarani na kudai kuwa
ajali nyingi zinasababishwa na uzembe.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment