Watu 7 wameripotiwa kufariki na wengine 31 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa Baghdad Iraq.Kwa
mujibu kutoka vyanzo vya polisi ni kuwa mlipuko huo uliathiri mikoa ya
El-Beyya, El-Huseyniyye, El-Iskan ,Besmaya na maeneo jirani ya Es-Sıhha
yaliyopo mjini Baghdad.
Hata hivyo hakuna kundi lolote limedai kutekeleza shambulizi hilo.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment