Image
Image

Putin kukutana Trump mara baada ya kuapishwa.

Rais wa Urusi,VLADIMIR PUTIN amesema ata kutana na Rais mteule wa Marekani, DONALD TRUMP mara tu atakapo apishwa kuingia madarakani.
Rais PUTIN amewaambia waandishi wa habari Mjini Moscow kuwa alimuunga mkono TRUMP ili kuweka sawa uhusiano wa Marekani na nchi yake.
Amesema halitakuwa jambo rahisi ukizingatia na namna nchi zote mbili zinavyotofautiana katika misimamo,lakini atafanya kila awezalo kuweka mambo sawa zaidi.
Juma lililopita, Shirika la Upelelezi nchini Marekani -CIA -liliishutumu Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani kwa kumuunga mkono TRUMP.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment