Image
Image

Waislamu nchini Marekani waandamana.

Waislamu wa Marekani waandamana kupinga sheria mpya ya kurasimishwa katika vibali kuhusu dini ya rais na seriakli ya nchi hiyo.
Hiyo ni kwa sababu hapo awali Donald Trump alisema alipendekeza kurasimishwa kwa waislamu nchini humo.
Kukandamizwa kwa waislamu na wakimbizi kunaendelea kuzidi kadri siku zinapoendelea kusonga.
Masaibu ya waislamu yameendelea kuzidi hasa baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais .
Takwimu za ofisi ya Upelelezi Marekani zaonyesha kuwa chuki dhidi ya waislamu imeongezeka kwa asilimia 67 ikilinganishwa na mwaka jana .
Waislamu wanaoishi Marekani walijitokeza kutoa wito kwa serikali ijayo kusikiliza na kuzingatia masaibu yao.
Jijini Washington waislamu hao walifanya matembezi kwanzia Hoteli ya Donald Trump hadi ikulu ya White House.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment