Image
Image

Erdogan na Obama wateta kuhusu hali ya amani, Wagusia tukio lililotokea Istanbul mwaka mpya.

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amefanya mazungumzo ya simu na rais Obama wa Marekani mnamo.
Mazungumzo hayo yaligusia matukio tofauti yanayozidi kujitokeza duniani kote.
Rais Obama ampongeza Erdoğan kwa kusema Uturuki imejitahidi kwa kiasi kikubwa katika kuhakikisha Syria inarudisha amani yake kama zamani.
Erdoğan pia amepongezwa kwa msaada mkubwa alioonesha kwa waathirika wa vita za Aleppo.
Kwa mujibu wa habari mazungumzo hayo yaligusia pia tukio lililotokea Istanbul usiku wa mwaka mpya na rais Obama alitoa salamu za rambirambi kwa wale wote walioguswa na maafa haya.


Hata hivyo Marekani imeahidi kuiunga mkono Uturuki katika kuhakikisha makundi ya kigaidi kama DAESH yanashughulikiwa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment