Shirika la kutoa misaada ya Uturuki la TIKA latoa msaada wa vifaa vya afya nchini Uzbekitan
Shirika la ushirikiano la kutoa misaada la TIKA kutoka Uturuki limetoa msaada wa vifaa vya afya katika eneo la Khorezm nchini Uzbekistan.
Shirika la TIKA katika tangazo lake lililotolewa mapema Jumanne limefahamisha kuwa mradi huo umetekelezwa kwa ushirikiano na wizara ya afya ya Uturuki.
Daktari Yılmaz Aslan kutoka katika hospitali ya Numune mjini Ankara alijielekeza nchini Uzbekistan ili kusimamia kazi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment