Harakati za kuokoa wahamiaji hao haram zikiendelea
Hawa ni ma elfu wahamiaji haramu wanaosadikiwa kufa majini wakiwa wamelazwa nchi kavu.
Hawa ni wahamiaji haramu walionusurika kufa wakionekana kujaribu kuendelea ma safari kwa njia za panya.
Na.Mwandishi wetu.
Inasadikika kuwa ma elfu ya wahamiaji haramu hasa kutoka nchi za Msumbiji na Malawi wamekufa majini baada ya harakati zao zakutaka kuingia nchi ya Afrika kusini kupitia njia za panya kushindikana kutokana mto Limpopo kujaa maji mengi.
Kwa mujibu wa Ripoti kutoka kwa mwandishi wetu aliyeko eneo hilo anasema kuwa usiku wakuamkia 10 january 2016 katika mji wa Mesina ambao ni mpaka kati ya nchi ya Afrika kusini na Zimbabwe hali hiyo imejitokeza.
Hata hivyo Imefahamika kwamba watu huwa wanasafiri bila vibali sahihi hvyo wakifika katika boda hiyo wanasaidiwa na raia wa Zimbabwe kuvuka katika mpaka huo kupitia mto Limpopo.
Bado tunaendelea kuifuatilia kwa kina ripoti hii kwa kuweza kupata ukweli toka kwa mamlaka husika kisha tutawafahamisha zaidi.
Home
Kimataifa
News
Slider
Wahamiaji haramu kutoka Msumbiji na Malawi wasadikiwa kufa majini wakipitia njia za panya.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment