Wasanii walioutuhumiwa kujihusisha na mtandao wa Dawa za kuvya waripoti Polisi.
Wasanii waliotajwa kujihusisha na matumizi ya Dawa za kulevya na kutakiwa kuripoti kituo cha polisi hivi leo wamewasili kwa awamu tofauti.
Wasani hao ambao walitakiwa kuwasili kituo kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam walionekana kutii amri huku wakifika kituoni hapo kwa nyakati tofauti,akiwa MSANII wa Bongo Movie, Wema Sepetu, T.I.D, Babu wa Kitaa,Nyandu Tozi.
02 February 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda aliwaweka wasanii hao hadharani kwa tuhuma za kujihusisha na mtandao wa biashara wa dawa za kulevya wakiwamo pia na maofisa wa Polisi 9.
0 comments:
Post a Comment