Image
Image

Erdoğan aapa kutoruhusu makundi ya kigaidi dhidi ya kupata starehe tena nchini Uturuki.

Rais Recep Tayyıp Erdoğan aapa kutoruhusu makundi ya kigaidi dhidi ya kupata starehe tena nchini Uturuki.
Erdoğan alikuwa akifahamisha kuhusu maficho makuu ya makundi ya kigaidi katika kanda ya Mashariki na Kusini Mashariki mwa Uturuki.
Rais Erdoğan alikuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara na wananchi mkoani Mardin ,Kusini Mashariki mwa Uturuki siku ya Alhamis.
Erdoğan aliendelea kusema kuwa mwanzoni serikali yake iliipa fursa PKK kufanya makubaliano ya maktaba wa amani lakini kundi hilo badala yake lilichagua kulipa kwa mabomu,uhaini na mapigano.
"Magaidi wa PKK hawana namna nyingine bali kuondoka katika ardhi ya Uturuki au Polisi na askari wetu kuwang'oa kwa lazima kutoka kwa nchi yetu."

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment