Rais wa Marekani Donald Trump apendekeza wizara ya Ulinzi nchini ya Pentagon kushirikiana na muungano wa jeshi la Afrika (AMISOM ) katika kupambana na wanamgambo wa Al Shabaab nchini Somalia.
Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wa Pentagon Albay Jeff Davis alifahamisha kuwa serikali ya White House imependekeza kusaidia katika kupunguza mizozo inayokumba nchi ya Somalia miongoni mwao ni mgogoro unaosababishwa na mashambulizi yanayotekelezwa na Al Shabaab .
Davis aliendelea kufahamisha kuwa Marekani ipo pamoja na serikali ya Somalia hsa katika kufanya mapambano dhidi ya ugaidi.
0 comments:
Post a Comment