Ripoti mpya iliyotolewa na kampuni ya uchunguzi ya Gallup inaonesha kuwa wastani wa asilimia 67 ya raia wa Marekani wenye mapato ya chini, wana wasiwasi mkubwa wa kukumbwa na njaa na kupoteza makazi yao, idadi ambayo imeongezeka kutoka asilimia 51 ya mwaka 2010 hadi 2011.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo, suala linalofuatiliwa zaidi na wamarekani kwa ujumla ni upatikanaji na gharama za huduma za afya, ambalo asilimia 57 ya waliohojiwa wameeleza wasiwasi mkubwa.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment