Image
Image

Chama cha Muziki nchini kutoa tamko utekwaji Roma na wenzake.

Chama cha Muziki wa Kizazi kipya (TUMA) nacho kinajipanga kutoa tamko lao kuhusiana na utekwaji huo baada ya Roma kuelezea umma kilichotokea.
Katibu Mkuu wa TUMA, Samwel Mbwana ‘Brayton’, aliliambia MTANZANIA kwamba licha ya kutoa tamko hilo pia watatoa elimu na tahadhari kwa wasanii kuepuka migogoro itakayowasababishia kuingia katika matatizo kama yaliyowatokea wasanii wenzao.
“Tutaweka mipaka katika uhuru wa kuongea na kuwa makini kama alivyosema Rais John Magufuli na pia tutaimarisha umoja wetu katika malengo chanya na si kwa matatizo pekee,” alisema Brayton.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment