Ripoti ya watumishi wa Umma wasio na sifa vyatua mikoni mwa JPM, Chimwaga Dodoma.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli akisoma Ripoti aliyokabidhiwa ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, ambapo amesoma jina moa la Abdalah Chanja kutoka Simiyu ambaye hana sifa katika utumishi katika ukumbi wa Chimwaga Dodoma leo 28 Aprili 2017.
Rais Dkt.John Pombe Magufuli magufuli akifurahi wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki akimkabidhi Ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma katika ukumbi wa Chimwaga Dodoma leo 28 Aprili 2017.
0 comments:
Post a Comment