Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai ameagiza kukamatwa kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mh. Freeman Mbowe na mbunge wa Kawe Mh. Halima Mdee ili wafikishwe kwenye kamati ya maadili kinga na madaraka ya Bunge kutokana na kudaiwa kutumia lugha za matusi wakat
i wa uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki.
Home
News
Slider
Spika Ndugai, ataka kukamatwa kwa Mdee na Mbowe kufikishwa kwenye kamati ya maadili.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment