Fainali ya Simba na Mbao kupigwa Jamhuri Dodoma.
Fainali ya michuano ya kombe la shirikisho kati Simba Sc Vs Mbao Fc ambao unahamasa kubwa unatazamiwa kuchezwa kwenye uwanja wa Jamhuri Dodoma,28 May 2017.
Rais wa Shirikisho la soka nchini Tanzania TFF Jamal Malinzi amebainisha hayo mbele ya waandishi wa habari na kusema kuwa sababu za mchezo huo kuchezwa Jamhuri nikutokana na kwamba uwanja wa Taifa utafungwa kwa ajili ya matengenezo.
0 comments:
Post a Comment