-Kupitia taarifa ya Mbunge wa Kigoma ACT, kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter ameyaandika haya.
"Hatimaye Waziri Kivuli wa Fedha ndg. Halima Mdee amesamehewa na ataendelea na vikao vya Bunge.
Baada ya Bunge kumsimamisha halima mdee kutohudhuria vikao vya bunge hatimaye wabunge wamuombea msamaha.
-Kupitia taarifa ya Mbunge wa Kigoma ACT, kupitia kwenye ukurasa wake wa Twitter ameyaandika haya.
"Hatimaye Waziri Kivuli wa Fedha ndg. Halima Mdee amesamehewa na ataendelea na vikao vya Bunge.
hivi leo 2 May 2017, Kamati ya Bunge ilitoa adhabu kwa Mbunge wa huyo kutohudhuria vikao vya Bunge la Bajeti vilivyobaki kutokana na siku za usoni kutoa lugha ya matusi Bungeni.
Halima mdee alitoa lugha hizo za matusi siku za usoni ndani ya bunge zikiwahusisha Spika wa bunge hilo Mh.Job Ndugai na Naibu Waziri wa Afya Hamis Kigwangallah, lakini aliweza pia kuomba radhi wahusika na bunge kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment