Maafisa wa kamati ya kimataifa ya michezo ya Olimpiki wafanya ziara jijini Paris Ufaransa kutathmini uwezo wa jiji hilo kuwa mwenyeji wa michezo ya olimpiki mwaka 2024.
Ziara hiyo imekuja baada ya kufanya ziara nyingine kama hiyo jijini Los Angeles nchini Marekani na kutathmini miundo mbinu na utayari wa mji kufanikisha michezo hiyo.
Kamati hiyo ya wajumbe 11 wakiwa nchini Ufaransa wametembelea maeneo mbalimbali.
Ushindani kati ya jiji la Paris na Los Angeles, na uamuzi wa mwisho kuhusu mji upi utashinda, utafahamika Septemba 13 jijini Lima.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment