Timu ya ufukweni ya mpira wa wavu ya wanawake ya Rwanda imefanikiwa kutwaa ubingwa na medali ya dhahabu baada ya kuifunga timu ngumu ya Morocco katika mchezo wa fainali ya mabingwa ya Afrika ya mashindano ya wavu ufukweni yaliyofanyika mjini Maputo Msumbiji.
Kwa ushindi huo, tim u hiyo ya Rwanda sasa itaenda kushiriki mashindano ya dunia ya mpira wa wavu ya ufukweni yanayotarajiwa kuanza Julai 28 hadi Agosti 6 mwaka huu mjini Vienna Austria.
Home
MICHEZO
Timu ya mpira wa wavu ya wanawake ya Rwanda imefanikiwa kutwaa ubingwa na medali ya dhahabu
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment